Mto Wase

Mto Wase ni mto unaopatikana ndani ya mji wa Wase

Mto Wase ni mto unaopatikana katika mji wa Wase, jimbo la Plateau nchini Nigeria. Mto huu unaunganika na Mto Benue jijini Dampar huko kitongoji cha Ibi[1] [2]

Mto huu umbali wake ni km 132 (mi 82)

Mahindi, magimbi, maembe na mboga za majani ni mazao yanayooteshwa pembezoni mwa mto huu.

  1. "Google Earth". earth.google.com. Iliwekwa mnamo 2020-02-07.
  2. https://www.geonames.org/2319113/river-wase.html

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy